Ruka hadi maudhui

Bei

Hakuna gharama zilizofichwa. Hivi ndivyo unavyolipa.

Ada ya Mwezi · Monthly Access

Ada moja ndogo. Matangazo yote. Mwezi mzima.

Wengi wetu tumewahi kumlipa dalali ili tu kuona nyumba ambayo haikufanana na maelezo. Ukiwa na KodiSmart unalipa mara moja kwa mwezi na kuona nyumba nyingi kadri upendavyo.

TSh 5,000kwa siku 30
  • Mpigie simu au WhatsApp wakala wa tangazo lolote
  • Panga kuona nyumba bila malipo ya ziada
  • Inafanya kazi kwa matangazo yote Dar es Salaam
  • Haijirudii yenyewe. Lipa tena pale tu unapohitaji muda zaidi
Pata Ada ya Mwezi ndani ya app

Ada ya kuhifadhi hulipwa peke yake, pale tu unapochagua nyumba.

Kuangalia ni bure siku zote

Hakuna ada ya kuona kila nyumba

Lipa kwa mobile money

Ripoti tangazo feki kwa kubofya mara mbili

Nyumba yako ijayo huenda tayari iko hapa.

Bure kupakua. Bure kuangalia.

Inakuja hivi karibuniGoogle Play Mimi ni wakala